(PST-CONNECT SYSTEM)
{ELECTION}
Ndugu Mwanataaluma wa Famasi Tanzania, Chama Cha Wafamasia Tanzania (PST) ni chombo muhimu kinachotuunganisha na kimesajiliwa kwa madhumuni ya kusimamia maslahi ya taaluma kwa ujumla wake. Kwakua Tanzania ni kubwa, basi inapaswa kuwa na Matawi ili kurahisisha ushughulikiaji wa masuala ya Taaluma yetu. PST İmeandaa uchaguzi wa matawi kote nchini. Ili uweze kuchagua kiongozi unaye mtaka, fuata hatua zifuatazo. 1. Bofya kitufe kilichoandikwa Get Votting Code kisha utaingiza PIN yako ya Baraza La Famasi , kisha weka email yako hai (Code Itatumwa Kwenye Email). Ukisha nakili code utabofya kitufe kilichoandikwa Vote (Hapo Chini) kisha Fuata maelekezo kupiga kura.